- Biashara
- Foreksi
- Sarafu-kripto
- Metali za Thamani na Nishati
- Viwango Vya Hisa
- Hisa
Vifaa Na Masharti Ya Biashara
- Makala ya Mwanabiashara
- Kalenda ya Uchumi
- Kalenda ya Likizo
Mshauri Wa Soko
- Akaunti ya Biashara ya gt.io
- Amana na Utoaji
Taarifa Kuhusu Akaunti
- Jukwaa La Biashara
- Matangazo
- Washirika
- Kuhusu
- Ufunguaji wa Akaunti
- Hati za KYC
- Uwekaji, Utoaji na Uhamishaji wa Fedha
- Jukwaa la Biashara
- Biashara
- Kawaida
Maswali Yaulizwayo Mara Kwa Mara
-

MASWALI KUHUSU
UFUNGUAJI AKAUNTI
1. Je, ni taarifa gani ya kibinafsi ninayohitaji ili kufungua akaunti?
1. Jina kamili
2.Anwnai ya barua pepe
3. Nenosiri
4. Nchi ya Makazi
2.Anwnai ya barua pepe
3. Nenosiri
4. Nchi ya Makazi
2. Kuna vizuizi vyovyote vya umri wakati wa kufungua akaunti?
Miak 18 na zaidi ndio umri wa chini unaohitajika kusajili akaunti kwa gt.io.
3. Inachukua muda upi kusajili akaunti?
Kusajili akaunti uchukua chini ya dakika moja. Mara utakapojisajili, tutatuma kiungo cha uthibitishaji kwenye anwani yako ya barua pepe. Bofya kwenye kiungo ili kuthibitisha anwani yako ya barua pepe, na akaunti yako kisha itasajiliwa.
4. Inawezekana kufungua zaidi ya akaunti moja kwa kutumia anwani sawa ya barua pepe?
La, kila mteja anaruhusiwa tu kufungua akaunti moja kwa kutumia anwani sawa ya barua pepe. Unaweza, hata hivyo, kufungua akaunti nyingi za biashara.
5. Na je, nisipopokea barua pepe ya usajili kutoka kwa gt.io?
Ikiwa hukupokea kiungo cha usajili, tafadhali tazama katika folda ya barua taka ya barua pepe yako kwanza. Ikiwa huwezi kuipata, tafadhali wasiliana na Usaidizi kwenye mazungumzo ya moja kwa moja yanayopatikana au kupitia barua pepe kwenye support@gt.io.
6. Ikiwa nitasajili akaunti nitakuwa na ufikiaji wa moja kwa moja kwenye jukwaa la biashara?
La. Mara unapojisajili na kuthibitisha anwani yako ya barua pepe utaweza kufikia eneo lako salama (Kituo cha Mteja) na sarafu zote za eWaleti zinazopatikana, ambapo unaweza kufungua akaunti ya biashara.
7. eWaleti ni nini?
eWaleti huundwa kiotomatiki na zinaweza kutumika kuweka fedha, kutoa na Uhamishaji wa Ndani hadi kwa na kutoka kwa akaunti zako za biashara katika sarafu tofauti.
8. Ninawezaje kufungua Akaunti ya Moja kwa Moja ya Biashara?
Unaweza kufngua akaunti ya/za biashara kwa kubofya kwenye kitufe cha 'Akaunti za Biashara' ndani ya eneo lako salama (Kituo cha Mteja), ukichagua Akaunti ya Moja kwa moja, na kufuata hatua zilizoainishwa.
9. Ninaweza kufungua akaunti isiyo isiyo na malipo ya ubadilishanaji (ya kiisilam)
Ndio unaweza. Lazima kwanza ufungue akaunti ya kawaida ya biashara na kisha utume ombi kwenye support @gt.io au ufungue tiketi kupitia eneo lako salama (Kituo cha Mteja) ili kutuma ombi la akaunti ya biashara ya isiyo ya kubadilishana.
Inapaswa kukumbukwa kuwa akaunti zisizo na malipo za ubadilishanaji lazima ombi lake litumwe kwa misingi ya imani za kidini. Jozi za kigeni na sarafu ya Kripto hazijumuishwi kwenye akaunti zisizo na malipo za ubadilishanaji na zitaongezwa/kutozwa kulingana na ubadilishanaji wa kawaida.

10. Ni sarafu zipi za eWaleti zinazopatikana?
EUR, USD, JPY, BTC, ETH, USDT
11. Kuna vizuizi vyovyote vya nchi?
gt.io haiwakubali wakaazi wa maeneo fulani kama vile Marekani, Kanada, Irani, Korea ya Kaskasini na Urusi.
12. Kuna vizuizi vyovyote katika idadi ya akaunti za biashara ninazoweza kufungua?
Ndio. Unaweza kufungua hadi akaunti tano za biashara katika sarafu sawa au muungano wa sarafu tofauti.
13. Ninawezaje kughairi akaunti yangu?
Unaweza kughairi akaunti yako kwa kutuma barua pepe kwa support@gt.io. Tafadhali hakikisha kuwa ombi limetumwa kutoka kwa barua pepe sawa uliyoitumia wakati wa kujisajili na kuwa unaonyesha kwa wazi kuwa ungependa kukomesha akaunti yako.
14. Inawezekana kufungua akaunti ya onyesho ya biashara?
Tunapeana akaunti za onyesho huku salio likiwekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako. Unaweza kufungua akaunti moja ya onyesho ya biashara kwa kila sarafu, na unaweza kuchagua uwiano kutoka 1:5 hadi 1:500 kwa kubofya kwenye kitufe cha 'Akaunti za Biashara' ndani ya eneo lako (Kituo cha Mteja) na kuchagua chauo la onyesho.
15. Ninaweza kufungua akaunti ya ushirika?
Ndio. Unapofungua akaunti ya ushirika, weka jina la kampuni yako katika "Jina la Kwanza" na aina ya kampuni yako (k.m Limited Company, LTD) katika "Jina la Mwisho".
16. Nitafanya nini ikiwa nitasahau nenosiri la kuingia la akaunti yangu?
Ikiwa utasahau nenosiri lako, unaweza kubofya kwenye chaguo la 'Umesahau nenosiri lako?' kwenye skrini ya kuingia na uweke nenosiri mpya kutoka kwa skrini ya urejeshaji wa nenosiri kulingana na maagizo yaliyobainishwa.
17. Ninawezaje kuweka uhalalishaji wa hatua 2 (2FA) kwenye akaunti yangu?
Nenda kwenye Mipangilio kwenye kona ilio upande wa kulia iliyo juu ya eneo lako salama (Kituo cha Mteja). Kutoka pale, unaweza kuchagua Usalama, na hii itakuruhusu kuweka 2FA kwenye akaunti yako kwa kuingia na kwa kutoa kando.
18. Ninawezaje kuzima uhalalishaji wa hatua 2 (2FA) kwenye akaunti yangu?
Nenda kwenye Mipangilio kwenye kona ilio upande wa kulia iliyo juu ya eneo lako salama (Kituo cha Mteja). Kutoka pale, unaweza kuchagua Usalama, na hii itakuruhusu kuondoa 2FA baada ya kuingia. Unaweza kuondoa kihalalishaji cha Google kwa utoaji, lakini baadhi ya aina ya uthibitishaji lazima ibaki. Katika suala hili, utahitajika kuiachia barua pepe yako angalau, kwa madhumuni ya usalama kunapaswa kuwa na angalau aina moja ya ukaguzi wa uthibitishaji ili kuruhusu ombi la kutoa kukamilika.
Fungua akaunti ya GT katika dakika
Chapa ya gt.io imeithinishwa na kuthibitiwa katika mamlaka mawili.
GT IO Markets (Pty) Ltd (https://gt.io/za/sw/home) ni kampuni iliyosajiliwa nchini Afrika Kusini, kwa Nambari ya Usajili 2015 / 059344 / 07 na anwani yake iliyosajiliwa iko kwenye Aurora Drive, Liberty Life Building 21, Office 125, 1st Floor Umhlanga, Kwa-Zulu Natal South Africa, 4301. GT IO Markets (Pty) Ltd is inasimamiwa na Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Kifedha chini ya FSCA FSP Nambari 48896.
GT IO Markets (Pty) Ltd hufanya kazi kama mpatamishi kati ya mwekezaji na Mtoaji wa ubadilishanaji, mwenzi kwa mkataba kwa tofauti iliyonunuliwa na mwekezaji kupitia Masoko ya GT IO.
360 Degrees Markets Ltd (https://gt.io/sw/home) ni kampuni iliyosajiliwa nchini Shelisheli, iliyo na Nambari ya Usajili 8421720-1. Anwani yake iliyosajiliwa ni Suite C, Duka la Orion, Mtaa wa Palm, Victoria, Mahe, Shelisheli. 360 Degrees Markets inadhibitiwa na Mamlaka ya Huduma za Fedha ya Shelisheli chini ya Nambari ya Leseni ya Muuzaji ya SD019.
Tovuti za https://gt.io/za/sw/home na https://gt.io/sw/home huendeshwa na ISPASS Technologies Ltd. ISPASS Technologies Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Cyprus, kwa Nambari ya Usajili HE394419 na anwani yake imesajiliwa Nikolaou Nikolaidi 3, Fleti/Ofisi 205, Paphos 8010, Cyprus.
Huduma za malipo za Skrill na Neteller huchakata malipo peke yao kwa GT IO Markets (Pty) Ltd.
gt.io haiwakubali wakaazi wa maeneo fulani kama vile Marekani, Kanada, Irani, Korea ya Kaskasini na Urusi.
Kwa kuwa gt.io haiko chini ya usimamizi wa JFSA au ESMA, haihusiki katika vitendo vyovyote vinavyochukuliwa kutoa bidhaa za kifedha na uagizaji wa huduma za kifedha hadi Japani au katika nchi za Jumuiya ya Ulaya na tovuti hii hailengi wakaazi nchini Japani au nchi za Jumuiya ya Ulaya.
Kanusho la Hatari: biashara ya uwiano katika mkataba wa sarafu ya kigeni au bidhaa zingine zisizo za ubadilishanaji kwenye asilimia ya nafasi hubeba kiwango cha juu cha hatari na huenda isifae kwa kila mtu. Tunakushauri kuzingatia kwa makini iwapo biashara inafaa kwako kwa kulingana na hali zako za kibinafsi. Huenda ukapoteza zaidi ya unachowekeza. Taarifa iliyo kwenye tovuti hii ni ya asili ya kawaida. Tunapendekeza kuwa utafute ushauri huru wa kifedha na kuhakikisha kuwa unaelewa kikamilifu hatari zinazohusika kabla ya kufanya biashara.