- Biashara
- Foreksi
- Sarafu-kripto
- Metali za Thamani na Nishati
- Viwango Vya Hisa
- Hisa
Vifaa Na Masharti Ya Biashara
- Makala ya Mwanabiashara
- Kalenda ya Uchumi
- Kalenda ya Likizo
Mshauri Wa Soko
- Akaunti ya Biashara ya gt.io
- Amana na Utoaji
Taarifa Kuhusu Akaunti
- Jukwaa La Biashara
- Matangazo
- Washirika
- Kuhusu
- Ufunguaji wa Akaunti
- Hati za KYC
- Uwekaji, Utoaji na Uhamishaji wa Fedha
- Jukwaa la Biashara
- Biashara
- Kawaida
Maswali Yaulizwayo Mara Kwa Mara
-

MASWALI YA BIASHARA
1. Mnatoa Aina nyingi za Akaunti za Biashara kwa masharti tofauti ya biashara?
Kwa sasa tunatoa aina moja tu ya Akaunti ya Biashara. Kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wa Akaunti ya Biashara.
(Note: Each client can open up to five (5) trading accounts in the same or different currencies.)
(Note: Each client can open up to five (5) trading accounts in the same or different currencies.)
2. Mnatoa spredi zinazobadilika au zisizobadilika?
Tunatoa spredi zinazoweza kubadilika, kumaanisha hubadilika, kwa kawaida ndani ya anuwai kulingan na masharti ya soko. Hata hivyo, wakati wa masoko yanayobadilika, utoaji wa habari za uchumi mdogo na nafasi za wikendi, Spredi zinaweza kuwa pana kuliko kawaida jambo linalotegemea tu wabadilishanaji wetu. gt.io haiwezi kudhibiti hii. Ili kuona spredi zetu za kawaida (wastani), tafadhali bofya kwenye kichupo cha 'Biashara' kwenye menyu ya ukurasa wetu wa na uchague kila aina ya raslimali.
3. Mnatoa vifaa gani vya kifedha?
Tunatoa Aina 6 za Raslimali (Foreksi, Sarafu za kripto, Metali na Nishati, Fahirisi za Hisa, Hisa) kwa vifaa zaidi ya 140+, zinazofikika kwa wateja wote. Kwa maelezo zaidi, tafadhali bofya kwenye kichupo cha 'Biashara' kwenye menyu ya ukurasa wetu wa tovuti ili uone jozi zote za biashara.
4. Unatoza asilimia ya faida kwenye akaunti za biashara?
Hatutozi asilimia ya faida kwenye akaunti za biashara.
5. Kuna kiwango cha chini cha amana au utoaji ili kuanza kufanya biashara?
Hakuna vizuizi ili kuanza safari yako ya biashara.
6. Inawezekana kupoteza fedha zaidi kuliko nilizoweka?
La. Tunatoa ulinzi wa salio hasi, kumaanisha kuwa unaweza tu kupoteza fedha ulizoweka. Katika kisa kuwa akaunti yako ya biashara ina salio hasi kwa sababu ya mkopo/bonasi, itajiweka kiotomatiki tena kuwa 0 mara utakapokuwa huna nafasi zingine wazi.
7. Ikiwa nitapokea bonasi ninaweza kuitumia kama asilimia ya nafasi? Ninaweza kuipoteza?
Matangazo yetu hukuruhusu kutumia bonasi, kwa kuwa ni sehemu ya Hisa na zinaweza kutumika kufanya biashara. Inawezekana kupoteza bonasi na huhitajiki kuirejesha tena.
8. Ninaweza kubadilisha sarafu ya msingi ya akaunti yangu?
La, haiwezekani kubadilisha sarafu ya msingi ya akaunti yako ya biashara. Hata hivyo, unaweza kufungua akaunti nyingine ya biashara kupitia eneo lako salama (Kituo cha Mteja) na uchague sarafu ya msingi unayoipendelea.
9. Ninawezaje kubadilisha nenosiri la akaunti yangu ya biashara?
Unaweza kubadilisha kwa urahisi nenosiri la akaunti yako ya biashara ndani ya eneo lako la usalama (Kituo cha Mteja) kwa kubofya kwenye menyu ya kichupo cha 'Akaunti za Biashara' .
Hii inasaidia sana ikiwa umesahau nenosiri lako, au unataka tu kulibadilisha. Tafadhali fuata hatua zilizo hapa chini:
1. Nenda kwenye Akaunti ya Biashara ambayo ungependa kubadilisha nenosiri.
2. Katika Orodha kunjuzi ya hatua, chagua Badilisha Nenosiri.
3. Weka nenosiri lako mpya na uwasilishe.
4. Mara utakapokamilisha pointi ya 3, utapokea barua pepe inayokuomba kuthibitisha ombi. Bofya kwenye kitufe cha uthibitishaji na nenosiri lako litabadilishwa.
Vinginevyo, unaweza kubadilisha nenosiri lako moja kwa moja kutoka kwa jukwaa laMT5. Hata hivyo, katika kisa hiki, lazima ukumbuke nenosiri lako la sasa kwa kuwa hutaweza kutumia kitendaji cha 'Nakili Nenosiri' ndani ya eneo lako la Mwanachama, kwa kuwa litakuwa batili.
Unaweza kubadilisha nenosiri lako kwa kuzifuata hatua hizi: Nenda kwa vifaa --> Chaguo --> Bofya kwenye badilisha nenosiri -->Weka alama kwenye Badilisha nenosiri kuu --> Weka Nenosiri la sasa, Nenosiri mpya, Thibitisha nenosiri mpya --> Bofya SAWA.

10. Usogezaji nafasi/Ubadilishanaji ni nini?
Unapofungua nafasi katika soko la papo hapo, huhitaji uwasilishaji wa mtu mwenyewe ambao kwa kawaida hufanyika ndani ya siku 2 baada ya tarehe ya muamala. Katika biashara ya asilimia ya nafasi, hata hivyo, hakuna uwasilishaji wa mtu mwenyewe, unaweza kuongeza tarehe ya maafikiano wa nafasi hiyo kwa kuisogeza kiotomatiki kwenye siku ijayo.
Ni kiwango cha riba kinacholipwa au kutozwa katika akaunti yako ya biashara kila mwishoni mwa siku ya biashara, ambacho hulingana na tofauti kati ya viwango vya riba vya sarafu zilizofanya biashara ndani ya jozi.

11. Mnatumia usogezaji wa nafasi/ubadilishanaji nafasi katika sarafu za kripto?
Hatutumii usogezaji wa kawaida/ubadilishanaji kwa jozi za sarafu ya kripto lakini tunatumia upeanaji fedha (bonasi)kwa matumizi ya uwiano. Kwa kutumia uwiano, kimsingi unaomba mtaji uliosalia ili kununua uwekezaji kutoka kwa gt.io, na kwa upande mwingine gt.io inaomba mtaji huo kutoka kwa eneo ambapo agizo lako litatekelezwa. Ada ya fedha hutozwa kila saa 4.
12. Ikiwa nitaifunga nafasi yangu kabla ya siku iliyoratibiwa ya kusogeza nafasi au kupata fedha, nafasi yangu itatozwa ada?
La. Ikiwa utaifunga nafasi yako kabla ya wakati ulioratibiwa, nafasi yako haitatozwa ada ya usogezaji wa nafasi au upataji fedha.
14. Mbona viwango vya usogezaji wa nafasi/ubadilishanaji kwa jozi za Foreksi na Metali viliongezeka mara tatu Jumatano na kwa Jozi za Hisa na Viwango Ijumaa?
Thamani ya kawaida ya jozi za Foreksi ni siku mbili mbele. Hivyo, nafasi iliyo wazi Jumatano ina tarehe ya thamani mnano Jumamosi. Kwa kuwa biashara hufungwa Jumamosi na Jumapili ada mara tatu za usogezaji nafasi/ubadilishanaji lazima zitumike ili kufidia wikendi. Hii hutumika kwa Metali na Nishati pia. Vile vile hutumika kwa jozi za Hisa na Viwango lakini hizi hutozwa Ijumaa.
15. Ninawezaje kuhesabu ada ya ubadilishanaji na fedha?
Kwa Foreksi, Metali na Nishati:
[Ukubwa wa Loti x Ukubwa wa Mkataba x Ukubwa wa alama x Alama za Ubadilishanaji x Kiwango cha Ubadilishanaji cha Sarafu ya Msingi/ Sarafu ya Akaunti]
Kwa Viwango vya Hisa na Hisa:
[Ukubwa wa Loti x Ukubwa wa mkataba x Asilimia ya Ubadilishanaji x Kiwango cha Ubadilishanaji cha Sarafu ya Msingi kwa Sarafu ya Akaunti] / 360
Ukubwa wa Loti = Idadi ya Loti unazoshikilia kwa jozi
Ukubwa wa Mkataba = Idadi ya Mkataba katika loti 1 (yaani USOil ni 100)
Ukubwa wa Alama = Idadi ya nambari zilizo katika jozi, ikionyeshwa kwa alama za desimal (yaani USOil ni 0.01)
Alama za Ubadilishanaji = Alama za ubadilishanaji katika alama
Sarafu ya Msingi = sarafu iliyo alama (yaani USOil ni USD)
Sarafu ya Akaunti = Sarafu ya akaunti yako
Ili kutazama mifano, tafadhali bofya kwenye kichupo cha 'Biashara' kwenye menyu ya tovuti yetu na uchague aina ya raslimali.

16. Ninaweza kuona wapi ada ya ubadilishanaji na fedha mapema?
Unaweza kutazama viwango vya ubadilishanaji ndani ya sehemu yako ya biashara kwenye dirisha la Saa ya Soko na kuchagua ainisho. Dirisha mpya lililo na ainisho zote za kifaa, ikijumuisha ubadilishaji mrefu na ubadilishanaji mfupi.
Kwa jozi za sarafu za Kripto, ada za fedha huchapishwa wakati ambapo ada hutumika, hivyo, tunachapisha ada ya kihistoria ya kila siku kila wiki. Unaweza kutazama haya kwa kutembelea ukurasa wa Sarafu-kripto.

17. Mnatoa akaunti za Nafasi Moja au za nafasi nyingi?
Tunatoa akaunti za nafasi nyingi
18. Masaa yenu ya biashara ni yapi?
Sarafu za kripto zinapatikana kwa biashara 24/7. Foreksi, Viwango na Bidhaa, Metali na Nishati na Hisa zinapatikana 24/5. Tafadhali tembelea gt.io na ubofye kichupo cha menyu cha 'Biashara' kwa maelezo kuhusu saa za biashara zinazohusiana na raslimali maalumu.
19. Seva yenu ya MT5 hutumia saa zipi za eneo?
Saa za eneo za seva yetu ni GMT+3.
20. Seva yenu ya biashara ya MT5 iko wapi?
Seva yetu ya biashara iko London (Uingereza).
21. Mnatoa MT4?
Hatutoi MT4
22. Modeli ya Utekelezaji ni nini?
Tunatoa Utekelezaji wa Soko kwa jozi zote za biashara, kumaanisha kuwa maagizo yataelekezwa kwenye maeneo yetu ya utekelezaji (wabadilishanaji) kwa uthibitishaji wa bei na kurudishwa kwako kwa bei bora ya soko inayopatikana.
23. Kasi yako ya utekelezaji ni ipi?
Kasi yetu ya wastani ya utekelezaji ni milisekunde 120 kutoka wakati ambapo agizo lako hufikia seva yetu ya biashara. Hata hivyo, unaweza kupata kuchelewa zaidi ambako hatuwezi kuudhibiti, kwa kuwa sehemu/jukwaa lako la biashara hutekeleza maagizo kutoka kwa mahali lililo mbali na seva yetu ya biashara. Ikiwa kasi ya utekelezaji ni muhimu sana kwa mkakati wako wa biashara, tunakushauri kutumia VPA (seva maalumu ya kibinafsi) iliyo London (Marekani)
24. Mnatoa biashara ya API?
Hatutoi biashara ya API.
25. Ninapowasilisha agizo lolote, mnaweza kuhakikisha kuwa nitapokea bei niliyoagiza?
Kampuni ina teknolojia thabiti tayari kuelekeza kwa maagizo kwa haraka kwa utekelezaji ndani ya milisekunde. Katika baadhi ya visa utapokea bei iliyoagizwa, hata hivyo, wakati wa harakati za soko zenye kubadilika na za haraka na utoaji wa habari muhimu, maagizo yanaweza kutekelezwa kwa bei mzuri au mbaya zaidi, iitwayo utelezi chanya au hasi.
Lazima ikumbukwe kuwa kwa sarafu za Kripto, maagizo yote hutekelezwa kulingana na ukubwa wa kiwango unaopatikana (loti) ulionyeshwa katika Uwezo wa Soko. Hii inamaanisha kuwa bei yako iliyoagizwa huwa kila wakati kwenye Sehemu ya Juu ya Kitabu (TOB)/bei ya safu ya 1 na agizo hilo linaweza kutekelezwa kwa bei tofauti, ambayo ni bei ya wastani iliyo bora. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea ukurasa waUwezo wa Soko wa Sarafu-kripto.

26. Uwezo wa Soko ni nini?
gt.io hutumia injini yake ya kujumlisha kupata data ya soko na biashara kutoka kwa maeneo mbalimbali ya utekelezaji (wabadilishanaji walio tayari kukubali maagizo kwa ukubwa tofauti bila kukataa) wakitoa bei 100% zinazoweza kutekelezeka. Mara ujumuishaji unapofanyika, Uwezo wa Soko huonyesha zabuni na maombi kwa viwango tofauti vya bei zinazopatikana kwa utekelezaji kwa ukubwa maalumu wa kiwango (loti) Mara unaptuma agizo kwenye jozi la sarafu ya Kripto, kulingana na kiwango kilichoagizwa, agizo lako litajazwa kwa bei inayopatikana kwa kila kiwango (bei ya wastani iliyo bora). Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea Uwezo wa Soko wa Sarafu-kripto ili kuona mifano tofauti.
27. Ninawezaje kuona Uwezo wa Soko?
Nenda kwenye Saa ya Soko katika sehemu yako ya biashara na ubofye upande wa kulia kwenye alama ambayo ungependa kuona maelezo na uchague Uwezo wa Soko. Vinginevyo, Unaweza kubofya upande wa kulia kwenye chati yoyote na uchague Uwezo wa Soko. Tafadhali kumbuka kuwa bei ya juu iliyobainishwa kwa rangi nyekundu husimamia maombi na bei ya chini iliyoonyeshwa kwa rangi ya buluu inaonyesha zabuni.
28. Loti ni nini? Loti ni ya pesa ngapi?
Loti husimamia kiwango cha sarafu (au Ukubwa wa Mkataba) ambacho ungependa Kununua au Kuuza, ikiwa imeainishwa mapema kwa kila jozi. Katika MT5, Kiwango hupimwa kwa Loti. Kwa mfano Loti 1 kwa USDJPY ni sawa na USD 100,000. loti 1 kwa XAUUSD (Dhahabu) ni 100 Troy Ounces au mikataba 100. Kwa amelezo zaidi kuhusu Kiwango ambacho Loti inatoshana nacho, unaweza kutazama uainishaji wetu wa biashara chini ya kichupo cha 'Biashara' kwenye menyu kuu au kwa kubofya upande wa kulia kwa kifaa chochote kwenye dirisha la Saa ya Soko ndani ya jukwaa lako la biashara na kuchagua uainishaji.
29. Mnaruhusu Biashara ya Habari?
Ndio, tunaruhusu Biashara ya Habari
30. Mnaruhusu mkakati wa skalpu?
Ndio, tunaruhusu mkakati wa skalpu.
31. Mnaruhusu ukingaji?
Ndio, tunakuruhusu kukinga nafasi zako katika akaunti sawa ya biashara kwa kufungua nafasi ya ununuzi na uuzaji kwa kifaa sawa.
32. Mahitaji tenu ya asilimia ya nafasi ni yapi? (Uwiano)
Tunatoa uwiano kati ya 1:5 - 1:500 au mahitaji ya asilimia ya nafasi ya 20% - 0.2%.
Tafadhali kumbuka kuwa uwiano utofautiana kati ya vifaa, na hurekebishwa kwanguvu kulingana na kiwango cha USD. Kwa maelezo zaidi, tafadhali nenda kwenye kichupo cha 'biashara' chini ya menyu kuu na uchague aina ya raslimali ambayo ungependa kutazama Mahitaji yake ya Asilimia ya nafasi.

33. Ni nini tofauti kati ya Asilimia ya nafasi na Uwiano?
Uwiano ni uwiano kati ya kiwango cha pesa ulicho nacho kwa hakika na kiwango cha pesa unachoweza kufanya biashara nazo, ambacho kwa kawaida huonyeshwa kama 1:X. ni kuzidisha kwa Hisa zako kunakokuruhusu kufungua nafasi kubwa za biashara.
Asilimia ya nafasi ni kiwango cha kufungua au kudumisha nafasi na kwa kawaida huonyeshwa kwa asilimia.
Kwa mfano, nafasi ya Loti 0.01 kwa XAUUSD kwenye 1700.00 ina uwiano wa juu wa 1:100, hivyo asilimia ya nafasi inayohitajika ingekuwa USD 17 au 1% ya mkataba wa XAUUSD.

34. Ninawezaje kuhesabu Asilimia ya nafasi Inayohitajika?
Kwa Foreksi, huhesabiwa kama ifuatavyo:
Ukubwa wa Loti * Ukubwa wa Mkataba / Uwiano au * Asilimia ya nafasi. Matokeo kwa kawaida huwa katika sarafu ya kifaa.
Kwa Metali, Nishati, Viwango vya Hisa na HISA huhesabiwa kama ifuatavyo:
Ukubwa wa Loti * Ukubwa wa Mkataba * Bei ya Kufungua / Uwiano au * Asilimia ya nafasi %. Matokeo kwa kawaida huwa katika sarafu ya kifaa.
Tafadhali kumbuka kuwa uwiano unaoweza kubadilika hutumika kwa vifaa vyote. Hii inamaanisha lazima huhesabu kila daraja kando na ujumuishe matokeo Kwa urahisi wako, tafadhali tazama kikokotoo cha Asilimia ya nafasi cha Uwiano Unaoweza kubadilika

35. Kiwango cha Asilimia ya Nafasi ni nini/Asilimia huru ya Nafasi na huhesabiwa vipi?
Viwango cya Asilimia ya nafasi ni thamani ya asilimia kulingana na kiwango cha asilimia ya nafasi inayoweza kufikika inayoweza kutumika dhidi ya asilimia ya nafasi iliyotumika au uwiano wa hisa yako kwa asilimia ya nafasi na huhesabu ifuatavyo.
Kiwango cha Asilimia ya nafasi = (Hisa/Asilimia ya nafasi) * 100
Asilimia huru ya nafasi ni kiwango cha fedha ulicho nacho kinachopatikana kufungua nafasi mpya na huhesabiwa ifuatavyo:
Asilimia huru ya Nafasi = Hisa- Asilimia ya nafasi

36. Uwiano unaoweza kubadilika ni nini?
Uwiano unaoweza kubadilika huturuhusu kupunguza katika wakati halisikiwango cha uwiano unachoweza kuwa nacho kwa kila kifaa ili kulinda akaunti yako kutokana na uwiano uloiozidi kwa viwango vikubwa. Jinsi kiwango kilivyo juu, ndivyo hatari ya kupoteza sehemu kubwa au yote ya fedha zako ilivyo juu, hivyo, uwiano unaotolewa hupunguza ipasavyo. Tafadhali nenda kwa kichupo cha 'Biashara' chini ya menyu kuu ili kutazama mahitaji ya asilimia ya nafasi ya kila raslimali au kifaa cha biashara.
37. Ninawezaje kufungua nafasi mpya?
Bofya upande wa kulia kwenye kifaa chochote ndani ya dirisha la Saa ya Soko na uchague 'Agizo Mpya' kutoka ndani ya jukwaa la biashara. Njia mbadala ni kubofya upande wa Kushoto/Kulia kwenye kifaa. Kwa utekelezaji wa haraka zaidi, unaweza kutumia 'biashara ya Kubofya Mara moja'.
Jaza taarifa iliyonyeshwa katika dirisha mpya.
Jaza taarifa iliyonyeshwa katika dirisha mpya.
38. Ninaweza kufunga nafasi?
Bofya upande wa Kulia/bofya Mara mbili kwenye biashara unayotaka kuifunga. Mara dirisha la agizo zinapofungua, bofya 'Funga na kisha 'SAWA.
39. Ni kwa nini biashara yangu hufunguka kila wakati kwa faida hasi?
Hii ni kwa sababu ya spredi inayotumika Ikiwa utafungua nafasi ya kununua, basi bei ya kufunga ni zabuni (chini kuliko bei yako ya kufungua), na ikiwa utafungua nafasi ya kuuza, bei ya kufunga ni ombi (juu kuliko bei yako ya kufungua)
40. Ninaweza kubadilisha Uwiano wa akaunti yangu ya biashara? Ikiwa ndio, vipi
Ndio, unaweza kubadilisha uwiano wako ndani ya eneo lako salama (Kituo cha Mteja) Chini ya kichupo cha menyu 'Biashara' chagua akaunti ya biashara, bofya kwenye Hatua (...), chagua 'Tuma Ombi la Kubadilisha Uwiano' na ufuate maagizo yaliyobainishwa.
Tafadhali kumbuka kuwa katika kisa chako ombi lako ni kupunguza uwiano wako, anayeshughulikia ataithinisha hii TU
Tafadhali kumbuka kuwa katika kisa chako ombi lako ni kupunguza uwiano wako, anayeshughulikia ataithinisha hii TU
41. Alama ni nini na ni vipi ninavyoweza kuhesabu thamani ya alama?
Alama ni mabadiliko madogo zaidi yanayowezekana au ongezeko ndogo zaidi la bei. Kwa mfano alama 1 kwenye EURUSD kwa 5 desimali ni 0.00001.
Hesabu ya thamani ya alama ni kama ifuatavyo:
Mfano: Loti 1 ya EURUSD
0.00001 * 100,000 (Ukubwa wa Mkataba) = 1 USD
Hesabu ya thamani ya alama ni kama ifuatavyo:
Mfano: Loti 1 ya EURUSD
0.00001 * 100,000 (Ukubwa wa Mkataba) = 1 USD
42. Kuna kiwango cha chini ninapoweka nafasi ya biashara?
Vifaa vyote vina ukubwa wa chini wa loti kulingana na maelezo yaliyo hapa chini:
Kiwango cha chini cha loti cha Foreksi, Metali, Nishati na Hisa
Ukubwa wa chini wa Loti wa Usawa wa Faharasa: Loti 1
Kiwango cha chini cha loti cha Foreksi, Metali, Nishati na Hisa
Ukubwa wa chini wa Loti wa Usawa wa Faharasa: Loti 1
43. Mbona vitufe vya Uza mnamo na Nunu mnamo havipatikani (vina rangi ya kijivu) ninapojaribu kutuma agizo katika dirisha la agizo?
Sababu zinazowezekana ni kuwa unajaribu kufungua biashara ndogo kuliko kiwango cha chini (loti) kinachoruhusiwa. Ili kuhakikisha kuw aunaingiza ukubwa wa loti ulio sawa au mkubwa kuliko kiwango cha chini unaweza kubofya upane wa kulia kwenye kifaa kwenye Saa ya Soko na uchague ainisho. Dirisha ibukizi litatokea likiwa na ainisho za vifaa vyote ambapo unaweza kupata Kiwango cha Chini. Vinginevyo unaweza kwenda kwenye kichupo cha menyu cha "Biashara" katika tovuti yetu na upate ukubwa wa loti wa kiwango cha chini cha kifaa.
44. Ninaweza kutumia Mshauri aliye Mtaalamu (EA)? Ninawezaje kuiweka?
Ndio. Tafadhali fuata hatua zilizo hapa chini:
1. Hifadhi Mshauri wako aliye Mtaalamu katika folda ya Mtaalamu katika saraka ya MT5 kwenye kompyuta yako. Hii kwa kawaida hupatikana chini ya C:\Programu Faili\MetaTrader5\MQL5\Wataalamu\Advisors
2. Anzisha tena MT5
Faili ya Mshauri aliye Mtaalamu inapaswa kuonekana katika Kiabiri cha dirisha katika Meta Trader
3. Kibofye na kiburute kwenye chati ya sarafu ambayo ungependa EA kufanya biashara kwake
4. Katika dirisha la 'sifa' linalotokea, weka alama kwenye 'Ruhusu Kufanya Biashara Kiotomatiki'
Nenda kwenye kichupo cha 'Vifaa' -> 'chaguo' -> 'Washauri Wataalamu'
Weka alama kwenye 'Ruhusu ufanyaji biashara otomatiki'
Bofya "SAWA'
Sasa unapaswa kuweza kuona alama iliyo na duara la kijani katika kona ya mkono wa kulia iliyo juu ya chati yako ili kuonyesha kuwa umeamilisha EA yako kwa njia sahihi.

45. Ufungaji Nusu ni nini na ninawezaje kuutumia?
Unaweza kuchagua kufunga sehemu nusu. Hii inamaanisha kuwa ikiwa utafungua nafasi kw akiwango cha 10 USDJPY, unaweza kuchagua kufunga sehemu ya kiwango hicho. Kwa mfano, unaweza kuchagua kufunga loti 3 na kuacha kiwango cha loti 7 zikiwa zimefunguliwa.
Unaweza kufanya hivi kwa kubofya mara mbili kwenye nafasi iliyofunguliwa, na kuruhusu dirisha la agizo kutokea. Chini ya uwanja wa 'kiwango' unaweza kubatilisha ile iliyo na kiwango unachotaka kufunga, na ubofye kwenye kitufe cha Funga kilichoainishwa kw arangi ya manjano.

46.Kufunga kwa kitendaji kunaruhusiwa?
Kufunga Kwa Kitendaji hakuruhusiwi.
47. Ufungaji wa nyingi kwa kitendaji kunaruhusiwa?
Ufungaji Nyingi Kwa kitendaji hauruhusiwi
48. Achisha Hasara ni ini na ninawezaje kiweka?
Komesha Hasara ni agizo la kizuizi unaloweza kutuma ikiwa ungependa nafasi yako iliyokuwa imefunguliwa hapo awali kufungika kiotomatiki wakati bei maalumu inapofikiwa kwa hasara. Achisha Hasara hutumika kupunguza hasara na kulinda salio lako kutokana na harakati zilizozidi. Ikiwa nafasi yako ni NUNUA, basi lazima uweke Achisa Hasara katika bei ya chini ya zabuni kuliko bei ya sasa ya zabuni. Ikiwa nafasi yako ni Uuzaji, basi lazima uweke Achisha Hasara kuwa uliza bei ya juu zaidi kuliko uliza bei ya sasa.
Unaweza Kuachisha Hasara ndani ya dirisha la agizo kabla ya kufungua nafasi au unaweza kurekebisha nafasi iliyoko kwa kubofya upande wa kulia kwenye agizo na kuchagua Rekebisha na Ufute.
Tafadhali kumbuka kuwa kuna umbali wa alama wa chini unapoweka Komesha Hasara Tafadhali tazama viwango vyetu vya Zuia na Uachishe chini ya kichupo cha menyu cha 'Biashara', au chini ya dirisha la Saa ya Soko -

49. Chukua Faida ni nini na ninawezaje kuiweka?
Chukua Faida ni agizo la kizuizi unalotuma ikiwa ungependa nafasi yako iliyokuwa imefunguliwa hapo awali kujifunga kiotomatiki bei maalumu inapofikiwa kwa faida. Ikiwa nafasi yako ni NUNUA, basi lazima uweke Chukua Faida yako kuwa katika bei ya juu zaidi ya zabuni kuliko bei ya sasa ya zabuni. Ikiwa nafasi yako ni Uza, basi lazima uweke Chukua Faida yako katika bei ya chini ya kuuliza kuliko bei ya sasa ya kuuliza.
Unaweza kuweka Chukua Faida ndani ya dirisha la agizo kabla ya kufungua nafasi au unaweza kurekebisha nafasi iliyoko kwa kubofya upande wa kulia kwenye agizo na kuchagua rekebisha au futa.
Tafadhali kumbuka kuwa kuna umbali wa chini wa alama unapoweka Chukua Faida. Tafadhali tazama viwango vyetu vya Zuia na Uachishe chini ya kichupo cha menyu cha 'Biashara', au chini ya dirisha la Saa ya Soko -

50. Maagizo yanayosubiri ni nini na ninawezaje kuyaweka?
Agizo linalosubiri ni agizo unaloweka wewe mwenyewe au kupitia Mshauri Mtaalamu (EA) la kununua au kuuza kifaa kwa bei iliyofafanuliwa mapema. Bei inapofikiwa, agizo litachochewa kiotomatiki, na kufungua nafasi kwenye bei ya soko.
Aina za Maagizo Yanayosubiri:
Unaweza kuweka agizo linalozubiri kwa kufungua dirisha mpya la agizo mpya na kuchagua aina: Agizo Linalosubiri chini ya Alama na kisha kuchagua aina ya agizo linalosubiri unalotaka kutuma.
Tafadhali kumbuka kuwa kuna umbali wa chini wa alama unapoweka maagizo yanayosubiri. Tafadhali tazama viwango vyetu vya Zuia na Uachishe chini ya kichupo cha menyu cha 'Biashara', au chini ya Ainisho la dirisha la Saa ya Soko.
Aina za Maagizo Yanayosubiri:
- Kizuizi cha Ununuzi ni agizo la kufungua nafasi ya ununuzi kwa bei ya Kuuliza ya siku zijazo. Lazima kiwekwe kuwa chini kuliko bei ya sasa
- Achisha Ununuzi ni agizo la kufungua nafasi ya ununuzi kwa bei ya Kuuliza ya siku zijazo. Lazima uwekwe kuwa juu kuliko bei ya sasa.
- Kizuizi cha Uuuzaji ni agizo la kufungua nafasi ya uuzaji kwa bei ya siku zijazo ya Zabuni. Lazima uwekwe kuwa juu kuliko bei ya sasa.
- Kukomesha Uuuzaji ni agizo la kufungua nafasi ya uuzaji kwa bei ya siku zijazo ya Zabuni. Lazima uwekwe kuwa chini kuliko bei ya sasa.
- Kizuizi cha zchisha Ununuzi: Aina hii huunganisha aina za kwanza mbili kuwa achisha agizo kwa kutuma Kizuizi cha Ununuzi. Mara uliza Bei ya siku zijazo itakapofikia kiwango cha chisha kilichobainishwa kwenye agizo (uwanja wa bei), agizo la Kizuizi cha Ununuzi litatumwa kwenye kiwango, kilichobainishwa kwenye uwanja wa Komesha bei ya Kizuizi. Kiwango cha Achisha huwekwa juu ya bei ya Kuuliza, huku bei ya Komesha bei ya Kuzuia huwekwa chini ya kiwango cha kuachisha.
- Kizuizi cha ununuzi cha Uza: aina hii ni agizo la ukomeshaji kwa kutuma Kizuizi cha Uuzaji. Mara bei ya Zabuni ya siku zijazo itakapofikia kiwango cha chisha kilichobainishwa kwenye agizo (uwanja wa bei), agizo la Kizuizi cha Uuzaji litatumwa kwenye kiwango, kilichobainishwa kwenye uwanja wa Komesha bei ya Kizuizi. Kiwango cha Komesha huwekwa chini ya bei ya sasa ya Zabuni, huku bei ya Achisha Uzuiaji ikiwekwa juu ya kiwango cha ukomeshaji
Unaweza kuweka agizo linalozubiri kwa kufungua dirisha mpya la agizo mpya na kuchagua aina: Agizo Linalosubiri chini ya Alama na kisha kuchagua aina ya agizo linalosubiri unalotaka kutuma.
Tafadhali kumbuka kuwa kuna umbali wa chini wa alama unapoweka maagizo yanayosubiri. Tafadhali tazama viwango vyetu vya Zuia na Uachishe chini ya kichupo cha menyu cha 'Biashara', au chini ya Ainisho la dirisha la Saa ya Soko.
51. Mbona faida yangu ya kuchukua, komesha hasara au agizo langu linalosubiri halichochewi? Chati linaonyesha kuwa ilifikia bei iliyobainishwa.
Bei iliyoonyeshwa kwenye chati ni zabuni, hivyo, unahitaji kuhakikisha kuwa bei iliyochochewa ilikuwa zabuni.
Kwa nafasi za Ununuzi, Maagizo yako ya Komesha Hasara, Chukua Faida, Kizuizi cha Uuzaji na Komesha Ununuzi kitachochewa kwa bei ya zabuni.
Kuhusu Nafasi za Uuzaji, Achisha Hasara, Chukua Faida, Kizuizi cha Uuzaji na Ukomeshaji wa Uuzaji wako utachochewa kwenye bei ya kuuliza.

52. Ukomeshaji wa Ufuatiliaji ni nini na ninawezaje kuiweka
Amri ya Kuachisha huufanya mchakato wa kurekebisha kiwango cha Komesha Hasara kuwa otomatiki. Hukuruhusu kubainisha kiwango cha Amri ya kukomesha katika alama, na mara faida iliyo katika alama inapokuwa sawa na au kubwa kuliko thamani iliyobainishwa, amri ya kiotomatiki huzalishwa ili kuweka Achisha Hasara kwenye umbali uliobainishwa kutoka kwa bei ya sasa ya soko. Ikiwa bei itasonga na inaongeza faida ya nafasi, Komesha Hasara husonga pamoja na bei kiotomatiki.
Unaweza kuweka Amri ya Kukomesha Ufuatiliaji kwa kubofya upande wa kulia kwenye nafasi iliyofunguliwa na kuchagua Amri ya Kukomeshaa na kisha Maalum. Dirisha mpya litatokea, likikuagiza kubainisha Kiwango cha Amri ya Kukomesha kwa alama Kisha bofya SAWA.
Tafadhali kumbuka kuwa kuna umbali wa alama wa chini unapoweka Amri ya Ukomeshaji Tafadhali tazama viwango vyetu vya Zuia na Uachishe chini ya kichupo cha menyu cha 'Biashara', au chini ya dirisha la Saa ya Soko -

53. Amri ya Asilimia ya nafasi ni nini na ni kiwango kipi kinachochochewa?
Amri ya Asilimia ya nafasi ni tahadhari/arifa inayotokea wakati kiwango chako cha asilimia ya nafasi hufikia alama fulani. Hiyo inamaanisha kuwa nafasi zako ziko katika hatari ya kubadilishanwa na karibu kiwango Kinachosababisha Ufungaji wa nafasi Katika kiwango hiki lazima uweke fedha kwa akaunti yako ya biashara au ufunge nafasi zilizo wazi ili kupunguza asimimia yako ya nafasi.
Amri ya Asilimia ya nafasi huwekwa kwenye 80%
Amri ya Asilimia ya nafasi huwekwa kwenye 80%
54. Ufungaji wa Nafasi ni nini na hutekelezwa katika kiwango kipi?
Ufungaji wa Nafasi hutokea wakati ambapo Kiwango chako cha Asilimia ya nafasi hufikia kiwango fulani. Hii inamaanisha kuwa huna fedha za kutosha za kuendeleza nafasi zako zilizofunguliwa na ubadilishanaji (kufunga nafasi) utaanza. Mfumo hufunga nafasi kuanzia kwa zile zilizo na hasara ya juu zaidi Hisa yako (au asilimia ya nafasi) iwe juu kuliko kiwango kinachosababisha ufungagaji wa nafasi
Kiwango Kinachosababisha Ufungaji wa nafasi huwekwa kuwa 50%.
Kiwango Kinachosababisha Ufungaji wa nafasi huwekwa kuwa 50%.
55. Kizuizi nz Viwango Vinavyosababisha Ufungaji wa Nafasi ni nini?
Kizuizi na Viwango Vinavyosababisha Ufungaji wa Nafasi ni nini? ni umbali katika alama kutoka kwa bei ya sasa ya soko, ambapo imekatazwa kuweka Achisha Hasara, Chukua Faida na Maagizo yanayosubiri. Unapojaribu kutuma agizo ndani ya vizuizi, utapokea ujumbe unaosema 'Ukomeshaji Batili'.
56. Ujumbe wa 'Muktadha wa Biashara una Shughuli' humaanisha nini?
Katika baadhi ya visa unaweza kulipa jukwaa agizo zaidi kabla ya la awali kukamilishwa. Hii inaweza kutendeka unapobofya agizo sawa mara nyinyi, au unapotumia EA iliyo na shughuli nyingi. Katika visa hivi, utapokea ujumbe ulio hapo juu ukuarifu kusubiri hadi hatua ya hapo awali ikamilishwe.
57. Mbona wakati mwingine hupata ujumbe wa hitilafu unaosema 'S/L au T/P batili ninapojaribu kutuma agizo?
Sababu zinazowezekana za ujumbe huu wa hitilafu hujumuisha:
1. Bei ya Komesha Hasara au Chukua Faida iliyowekwa sio sahihi. Tafadhali hakikisha kuwa unapoingia katika nafasi ya Ununuzi, bei ya Achisha Hasara huwekwa kuwa chini na bei ya Chukua Faida kuwa juu kuliko bei ya sasa ya soko. Unapoingia katika nafasi ya Uuzaji, bei ya Komesha hasara huwekwa kuwa juu na Chukua Faida kuwekwa kuwa chini kulikobei ya sasa ya soko.
2. Ikiwa alama ya 1 ni sahihi, tafadhali hakikisha kuwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko sasa ni ndani ya Viwango vya Kizuizi na Uachishaji.

58. Mbona unapata ujumbe wa hitilafu unaosema 'hakuna pesa za kutosha'?
Kwa sababu huna Asilimia ya Nafasi ya kutosha iliyo Wazi au Kiwango chako cha asilimia ya nafasi kiko chini ya 100% Tafadhali tazama jinsi ya kuhesabu mahitaji ya asilimia ya nafasi kwa kwenda kwenye kichupo cha menyu cha 'Biashara' kwa kila aina ya raslimali.
59. Ninapaswa kufanya nini ikiwa kuna tatizo kwa biashara maalumu?
Unaweza kutazama sehemu ya Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara kwa uwezekano wa jibu la swali lako. Ikiwa hutapata jibu, unaweza kufungua tiketi kupitia aene lako salama (Kituo cha Mteja) au utume barua pepe kwa support@gt.io na time yetu ya uchunguzi itakujibu haraka iwezekanavyo.
60. Akaunti za Biashara huhifadhiwa kiotomatiki wakati wowote?
Ndio, akaunti za biashara za MT5 huhifadhiwa kiotomatiki baada ya siku 30 za kutokuwa na shughuli na kuwa na salio la sufuri. Utapewa chaguo la kuongeza akaunti mpya ya MT5 mara unapoweka fedha katika sarafu yako unayoipendelea.
Fungua akaunti ya GT katika dakika
Chapa ya gt.io imeithinishwa na kuthibitiwa katika mamlaka mawili.
GT IO Markets (Pty) Ltd (https://gt.io/za/sw/home) ni kampuni iliyosajiliwa nchini Afrika Kusini, kwa Nambari ya Usajili 2015 / 059344 / 07 na anwani yake iliyosajiliwa iko kwenye Aurora Drive, Liberty Life Building 21, Office 125, 1st Floor Umhlanga, Kwa-Zulu Natal South Africa, 4301. GT IO Markets (Pty) Ltd is inasimamiwa na Mamlaka ya Maadili ya Sekta ya Kifedha chini ya FSCA FSP Nambari 48896.
GT IO Markets (Pty) Ltd hufanya kazi kama mpatamishi kati ya mwekezaji na Mtoaji wa ubadilishanaji, mwenzi kwa mkataba kwa tofauti iliyonunuliwa na mwekezaji kupitia Masoko ya GT IO.
360 Degrees Markets Ltd (https://gt.io/sw/home) ni kampuni iliyosajiliwa nchini Shelisheli, iliyo na Nambari ya Usajili 8421720-1. Anwani yake iliyosajiliwa ni Suite C, Duka la Orion, Mtaa wa Palm, Victoria, Mahe, Shelisheli. 360 Degrees Markets inadhibitiwa na Mamlaka ya Huduma za Fedha ya Shelisheli chini ya Nambari ya Leseni ya Muuzaji ya SD019.
Tovuti za https://gt.io/za/sw/home na https://gt.io/sw/home huendeshwa na ISPASS Technologies Ltd. ISPASS Technologies Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Cyprus, kwa Nambari ya Usajili HE394419 na anwani yake imesajiliwa Nikolaou Nikolaidi 3, Fleti/Ofisi 205, Paphos 8010, Cyprus.
Huduma za malipo za Skrill na Neteller huchakata malipo peke yao kwa GT IO Markets (Pty) Ltd.
gt.io haiwakubali wakaazi wa maeneo fulani kama vile Marekani, Kanada, Irani, Korea ya Kaskasini na Urusi.
Kwa kuwa gt.io haiko chini ya usimamizi wa JFSA au ESMA, haihusiki katika vitendo vyovyote vinavyochukuliwa kutoa bidhaa za kifedha na uagizaji wa huduma za kifedha hadi Japani au katika nchi za Jumuiya ya Ulaya na tovuti hii hailengi wakaazi nchini Japani au nchi za Jumuiya ya Ulaya.
Kanusho la Hatari: biashara ya uwiano katika mkataba wa sarafu ya kigeni au bidhaa zingine zisizo za ubadilishanaji kwenye asilimia ya nafasi hubeba kiwango cha juu cha hatari na huenda isifae kwa kila mtu. Tunakushauri kuzingatia kwa makini iwapo biashara inafaa kwako kwa kulingana na hali zako za kibinafsi. Huenda ukapoteza zaidi ya unachowekeza. Taarifa iliyo kwenye tovuti hii ni ya asili ya kawaida. Tunapendekeza kuwa utafute ushauri huru wa kifedha na kuhakikisha kuwa unaelewa kikamilifu hatari zinazohusika kabla ya kufanya biashara.